House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA #200K
===
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet
===
Kodi 200,000/= Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 1.7 Usafiri bajaji zipo na bodaboda ukishuka Bajaji dakika 6 umefika
===
Ndani ya fence parking IPO, inajitegemea umeme, maji yanaflow chooni na jikon wanashare bill 2
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0679447338
0753454167