House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
BEI: 100,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI X 3 TUU.
===
WAHI TU WAHI MASTER BEDROOM INAPANGISHWA LOCATION:KIMARA MWISHO (DSM)๐น๐ฟ
====
Umbali Ni dakika.13
kwa Kutembea kwa mguu
Kutoka barabara ya morogoro road
Usafiri bajaji zipo Tsz 500/=
Boda boda Elfu 1000/=
====
Umeme submeter yako
,maji meters yako pia
maji yanaflow chooni
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000/=
itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
#0753454167
#0679447338