House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







180,000 x3,5,6. KIMARA MWISHO
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA MWISHO KLM 2
Chumba kikubwa masta
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Kodi 180,000/=×4,5,6
--------
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347



















