House for rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 400,000

HAPA PANA NYUMBA MPYA MBILI TOFAUTI SOMA MAELEZO KWA MAKINI ZIPO KIMARA MWISHO

HAYA WADAU APARTMENT ZETU ZINAFIKIA HATUA YA MWISHO KUKAMILIKA WAHI USIJE UKAKOSA NYUMBA

------------------

NI APARTMENT NZURI MPYA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD

USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI NI TSH 700 UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 4 HADI KWENYE NYUMBA

BODABODA NI ELFU MOJA MPAKA KWENYE NYUMBA KUTOKA KIMARA MWISHO

---------

ZIPO APARTMENT MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =

GHOROFANIKODI NI LAKI 500,000 /=

ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /=KWA MWEZI

MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA

KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=

----------

SIFA ZAKE =

VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA

UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
FULL PAVING BLOCKS
RESERVE SIM TANK
PARKING SPACE KUBWA

----------

TUNAPOKEA MALIPO TAREHE 1/4/2024 ZITAKUWA TAYARI KUHAMIA

KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000/=

MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA

Contact:
0654101710
0787205300

DALALI UBUNGO KIMARA MBEZI
dalali_amani_ubungo_kimara_mbz
DALALI UBUNGO KIMARA MBEZI

Similar items by location

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

(270,000 × 3) KIMARA STOP OVER 𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 270k × 3: Dakika 6 ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 270k X 3#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA STOP OVER #𝘿𝙞...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location kimara temboni km 1 Kodi 250000 kwa mwezi na dala...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NI APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZIINAPANGISHWA 250X4.LOCATION:KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO C...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NI APARTMENT NZURI SANA MPYAZIINAPANGISHWA 250X4 .LOCATION:KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWEN...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 250k: KIM...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 660,000

NYUMBA KUBWA SANA INAPANGSHWA WAPANGAJI 2 TU HII KUBWA NDIO IPO WAZI#SEBULE KUBWA #VYUMBA 3 VYA KUL...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA CHINI INAKUWA WAZI TAREHE 20/12/2025#SEBULE KUBWA#V...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KODILAKI 250,000 × 4 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 IP...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 170,000/= X 6🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUMB...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

#STAND_ALONE NZURI KABISA ILIYOPO MTAA MZURI KABISA INAPANGISHWA #BEI 500K X6 ILIPWE LAKI TANO MALIP...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KODILAKI 250,000 × 4 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 IP...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

AYA BEBA PESA KABISA NDUGU MTEJA 💰✍️⛳️APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISAKODI 250,000 × 4/5/6 Ipo Kari...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KODILAKI 250,000 × 4 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 IP...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 320,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI 1.5 KUTOKA LAMI ITAKUWA WAZI 27.11.2025KUONA NA KULIPIYA LU...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI -------Chumba master ki...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 250k: KIM...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

#KODI 150K MALIPO MIEZI X 5,6LOCATION KIMARA KOROGWE👉 KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2 BAJAJI SH.500SI...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

SINGLE ROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA KIMOJA KIKUBWA, CHOO NJE, MAJI DA...