House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(120,000X5) KIMARA SUKA DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
MASTER BEDROOM INA PANGISHWA MPYA MPYA
IPO KIMARA SUKA(DSM)🇹🇿 DAKIKA.15 KWA MIGUU KWA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA LAMI
USAFILI UPO WA BODA BODA ELFU 1000/=
SIFA ZAKE HII MASTER
_________________________
•CHUMBA KIKUBWA
•NA CHOO CHAKE NDANI
•PUBLIC TOILET IPO NJE
•MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
•DILISHA WAVU KWA SASA
•UMEME SUBMETER YAKO
•TILES SAFI
•GYPSUM BOARD
•NYUMBA HAINA FENSI
•PARKING SPACE AKUNA
SERVICE CHARGE NI TSZ15,000/=
KODI NI TZS 120,000/=X"5"
NB NYUMBA ZINAKAMILIKA TH 07/01/2025
CONTACT US:
0716223412
0683597453