House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM KUBWA SANA, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW CHOONI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI AMBAYO BADO KUMALIZIWA MBELE TU, LUKU YAKO
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, NOAH700/=
*KODI 130,000/= KWA MWEZI
_____________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347