House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


500K X6 STAND ALONE NZURI INAPANGISHWA KODI TSH 500,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1.5
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.5
SIFA ZAKE ๐
VYUMBA VINNE VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI STORE KUBWA PUBLIC TOILET YA NDANI NA YA NNJE
KABATI LA NGUO KWENYE MASTER
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL GARDEN FULL PARVING BLOCKS ๐งฑ
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI MASAA YOTE ,RESERVE TANK LIPO
NB;
NYUMBA HII VYUMBANI HAKUNA TYRIES, HIVYO MTEJA ATAKAPOLIPIA TU INAMALIZIWA KUWEKWA TYRIES VYUMBANI PAMOJA NA KURUDIWA RANGI
NYUMBA NI KUBWA SANA NA INAFAA KWA MTU MWENYE FAMILIA KUBWA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA BADO HUJACHELEWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA NA UKILIPIA MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA
CONT ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258