House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO TATU TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI BACHELA HOUSE #BEI 220
#SEBULE KUBWA
#MASTER KUBWA
#JIKO LA NJE
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU 2 SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS MAZINGIRA MAZURI SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA
#NOTE HAPA ANATAKIWA BACHELA WA KIKE AU WA KIUME AU MTU NA MWENZA WAKE( PERIOD)
#KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
#0625606710🏠wahiii