House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA KINAPANGISHWA KIPO #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 10 KWA MGUU
====
CHUMBA KIKUBWA SANA IPO NDANI YA FENSI
UMEME SABMITA
MAJI DAWASA YAPO CHOONI
===
KODI 75,000/=X6
KUONA CHUMBA 15000/=
DALALI 75,000/=
PINDI ULIPIAPO CHUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343