House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT KALI SANAA INAPANGISHWA IPO KIMARA SUCA
KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 8 KUTEMBEA TOKA SUCA AU TEMBONI
APARTIMENT HII HUITAJI BODA AU BAJAJI
MUUNDO WAKE
========
CHUMBA MASTAR KUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA JIKO
NYUMBA INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
NDANI YA FENSI WAPANGAJI WAWILI
====
KODI 300,000/= X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
Cont
0683234124
0718367179