House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTIMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000X6
🎓APARTIMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASCO UNAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTIMENT 12 TUU KWENYE FESI MOJA
#FULL A/C ZITAKUA TAYALI DATE 1/1/20025
PESA INAPOKELEWA KUANZIA DATE 4 NA KUENDELEA MKATABA KAMILI UTAKUA DATE 1
BEI NI 400000/=X6
🚓🚓APARTIMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIOWEKWA ZEGE NA KUTOKA MOR ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 500 DARADARA ZA K/KOO ZIPO
NJIA RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYENYUMBA UKISHUKA TU UNAVUTA GETI UNAINGIA NDANI TAJILI . FULL CAMERA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15000 NA UKIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.