House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA KALI INA PANGISHWA 
KODI 250,000X6 
LOCATION: KIMARA MWISHO AU UNAWEZA PITIA KIMARA STOP OVER 
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA MAKABATI 
PIA KWENYE MASTER KUNA MAKABATI YA NGUO 
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI 
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK 
UMBALI KM 1 TU
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637




















