House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA UHAKIKA NA GARI LINAFIKA HADI MLANGONI
BEI NI 150,000/=X 6
ILIPWE LAKI 1 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
UKIIPENDA NYUMBA HII NDUGU MTEJA UTALIPIA PESA YA UDALALI SHILINGI LAKI 1 MOJA NA NUSU BILA KUSAHAU SERVICE CHARGE SHILINGI ELFU 15
๐๏ธAPARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
#OFFICE #ZETU #ZIPO# KIMARA #TEMBONI ๐น๐ฟ๐
#KIUMBE #REAL #ESTATE #AGENT ๐น๐ฟ๐
KWA MATANGAZO YA KIBIASHARA what's up+255715777904
CONT+255788145810
Karibuni SANA Tz DALALIMICHAELKANYERERE ๐น๐ฟ๐ค๐๐น๐ฟ
maikokanyerere904@gmail.com