House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA MWISHO CHUMBA SEBULE CHOO NDANI KODI LAKI NA ELFU HAMSINI (150,000)KWA MWEZI
----
Chumba Master kikubwa
Seble kubwa Sana
Tiles
Gypsum
Slide window
Maji yana flow ya dawasa
Umeme wako
Ndani ya fence
Parking spece kubwa Sana
-----
Umbali wa 1.5 kilometar to main road
Service charge 15,000/=
Kodi 150,000 × 6
-----
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300