House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KIMARA MWISHO DK 5-7
CHUMBA MASTAR KIZURI SANA KINAPANGISHWA KODI TSH 100,000X6
HIZI MASTA MPYAAA!!! KABISA ZIPO NNE IMEBAKI MOJA TU WAHI MAPEMA USILEMBE 🛺 🛵 🏍️ 🏃🏃🏃🔥🔥🔥
UMEME UPO TAYARI
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
UMEME LUKU SHEA 4 PAMOJA NA MAJI
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1