House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI NYUMBA YA KUPANGA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE 
INAKUA WAZI TAR 28 MWEZI HUU
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
SIFA ZAKE 
########
INA VYUMBA VITATU (3) VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDAN 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING YA GARI MOJA NA MAZINGIRA NI MAZURI MNOO 
UMBALI KM 1,5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS  USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 1 UPO NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
CONTACT
 0655256419




















