House for rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NEW NEW APARTMENT FOR RENT##KIMARA MWISHO.
•••••••••••••••••••••••••••••••••••

NYUMBA MPYA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.

ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO NJIA IENDAYO KIMARA BONYOKWA.

HIZI APARTMENT ZIPO ATUA YA MWISHO KUMALIZIKA RUKSA KUONA NA KULIPIA

ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI NA BEI TOFAUTI =

GHOROFA = KODI NI 500,000

ZA CHINI = KODI NI 400,000 /=

SIFA ZAKE =

VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI.

••••••••••••••••••••

NOTE =
HIZI APARTMENT ZIPO 8 KWENYE COMPAUND MOJA NA ZINA NAFASI YA KUTOSHA HAZIJABANANA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI

ZITAKUWA TAYARI KWA KUHAMIA TAREHE 01 /4 / 2024 RUKSA KUONA NA KULIPIA KWA MPANGAJI AMBAYE HANA HARAKA.

KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=

MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MWEZI PINDI ULIPIAPO NYUMBA

ZIPO APARTMENT ZA BEI TOFAUTI GHOROFA LAKI 500,000 NA ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /=

••••••••••••••••••••

FINISHING YAKE = FULL PAVING BLOCK ZINAWE, MADIRISHA ALUMINUM, REZEV SIMTANK, PARKING SPACE KUBWA YA KUTOSHA.

0655256419

DALALI LYIMO KIMARA
dalal_lyimo_kimara_korogwe
DALALI LYIMO KIMARA

Similar items by location

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 325,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHOUmbali wa Kutembea...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 325,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHOUmbali wa Kutembea...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA SUKA#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHOUmbali wa Kutembea...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA MASTER BED ROOM KUBWA SANA, SEBULE KUB...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#0742260844#0657384670.NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAE...

Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

NI KIWANJA CHENYE PAGALE NDAN KINAUZWA KIWANJA KIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 6 TU KUTOKA KITUO CHA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA MASTER BED ROOM KUBWA SANA, SEBULE KUB...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

0679 997610 #NYUMBA NZURI YA KUPANGA (400K X6)KODI LAKI NNE MALIPO YA MIEZI SITA PIA KUNA PESA YA TA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#Repost dalali_dizzo_ubungo25_APARTMENT MPYA KABISA INA PANGISHWA LOCATION:KIMARA KOROGWE UPANDE WA ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 280,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 280,000/= X 4APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUMBA ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 BANGALOO SIFA YA NYUMBA NI Chumba master sebure n...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment Mpyaa#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA SUKA#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA MASTER BED ROOM KUBWA SANA, SEBULE KUB...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NJOO UZUIE NYUMBA KWA MIEZI 3 FASTA WAHINAOMBA SIMU ZIITE BEI NIMESHUSHA WAHI SASA 400KAPPARTMENT MP...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

0759151524NAOMBA SIMU ZIITE BEI NIMESHUSHA WAHI SASA 400KAPPARTMENT MPYA NA KALI INAPANGISHWA KIMARA...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200,000 x3. 0759151524APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 BANGALOO SIFA YA NYUMBA NI...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#Apartment Mpyaa#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: #KIMARA_SUKA#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakik...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA MASTER BED ROOM KUBWA SANA, SEBULE KUB...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000X6)KIMARA MWISHO➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA MAST...