House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F4e2887e7-dd03-4cd6-aa85-4005140c5492.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F4e2887e7-dd03-4cd6-aa85-4005140c5492.jpg&w=256&q=75)
NEW NEW APARTMENT MPYA ZIKO APARTMENT TATU KWENYE COMPAUND MOJA INAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 01/05/2024 KUONA MALIPO RUKSA SOMA MAELEZO KWA MAKINI 👇
(A)#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU YAKO MAJI YA KWAKO
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
(B)#CHUMBA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO OPERN KITCHEN KUNA WEKWA MAKABATI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU YAKO MAJI YAKO
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 6-7 KWA MIGUU NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
0710614924
0688653940