House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000X6) KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/02/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
BEI NI 250,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#APARTMENT YA JUU GOROFANI NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
❌❌ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/02/2024 ❌❌
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453