House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 4 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA MBEZI KWA MSUGURI DAKIKA 5 KUTOKA LAMI
VYUMBA 3 VYA KULALA LIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
SLIDE WINDOW
NDANI YA FENCE
PAVING BLOCK
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 600,000/=×6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
0652 508128
0753 989554
=====