House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Kinyerezi Kibaga. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba 6 (vyote master) ndani.
- Njee kuna vyumba vya ziada viwili
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Kuna kisima
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Mtaa tulivu
- Electric fence
Kodi 1,200,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.