House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Njia Ya Airport.
- Master
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Fence
- Wapangaji wawili tu
- Dakika 0 kutoka kituoni
Kodi 300,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890.