House for Rent in Kinyerezi, Dar Es Salaam


NYUMBA TANO-PAMOJA INAUZA BANK,TSHS 57 MILIONI, KINYEREZI.
Ni mita 700 tu kutoka BL PARK- KINYEREZI/LAMI
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.640.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba zimejengwa kimkakati wa kupangisha.
Jumla kuna vyumba vya kulala 20,
Kati ya hivyo 4 Vyoo ndani.
UNAWEZA KUBORESHA NA KUFANYA LODGE nk.
MABORESHO YANAHITAJI.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________mpg



















