House for rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA TSH 1,000,000/=
UNUNIO,DAR ES SALAAM TANZANIA.
================================
Piga simu/WhatsApp no+255689508094
_________________________________________
Nyumba ina vyumba 3vya kulala/kimojawapo kina choo na bafu/sebure/jiko/stoo/sehemu ya kulia chakula/choo na bafu vya familia nk.
_____________________________
■Mpangaji: Atalipia Tsh 30,000/= kupelekwa kuoneshwa nyumba +Kodi ya mwezi mmoja,kwa dalali, ulipiapo nyumba.
______________________________
Napatikana:Kinyerezi Dar es salaam Tanzania
Piga simu/WhatsApp no+255(0)689508094