House for Rent at Madale, Dar Es Salaam
🌏Nyumba inapangishwa
🌍Ipo madale mwisho
🌎Nyumba ni nzuri sana
🌍Fensi kwa sasa ya waya ila itajengwa
🌍Bei yake sasa ni Tsh 400K MALIPO MIEZI 12
🌍Hataukiwa na 350k njoo nitaongea nae apunguze
🌍Angalia video vizuri utajua nyumba kua ni kali tajiri
🌍Inafikika vizuri sana hata kama una crown
🌍Service charge 20,000/=
☎️0782 724 115