House for rent at Madale, Dar Es Salaam


Apartments zinapangishwa, zipo Tegeta Madale Full AC
Vyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 500000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Karibuni sana