House for Rent at Madale, Dar Es Salaam
1st December 2024----------------Apartment mpya Location madale mivumoni karibu na shule ya Atlas
Chumba master sebule na jiko
Umeme na maji vinajitegemea
Full Ac
Kodi lk 500,000 kwa mwezi
Malipo miezi 6
Malipo ya dalali mwezi mmoja
Kwa muhitaji piga simu
0758 572 334
0716 407755