House for rent at Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA KUBWA INAPANGISHWA MWANAGATI
Leo nakuletea Apartment ya kupanga nzuri kabisa bosi wangu
Nyumba kali sana hakika ni kali karibu sana sana
SIFA ZA APARTMENT
๐Vyumba 2 ,1masta
๐Sebule
๐public toilet
๐study room kubwa
๐Jiko
๐maji na umeme unajitegemea
๐Karibu na barabara kubwa ya lami kama hatua 10
๐parking ipo ya kutosha
๐mweny nyumba hana njaa
๐CCTV camera ๐ท
๐Electric fance
๐Room ya mfanyakazi
๐ Gari linafika mpaka ndani
Nyumba mpya kabisa nyumba ya kisasa kabisa
โ
Price : 500,000/ mwezi Miezi 6
Agent fee : mwezi mmoja
Kukupeleka site : 10,000
Karibu sana kazi ya uhakika
dalalitrustedtz ... tufollow Instagram/Facebook page / twitter/LinkedIn na tiktok
Mawasiliano: 0629 113743
FOLLOW US TODAY