House for rent at Mawasiliano, Morogoro
NYUMBA MPYA ZIKO TAYARI KWA SASA KUINGIA PIGA SIMU UJE KULIPIA
MAENEO YA NANENANE ,MOROGORO MJINI
KODI NI TSH.300,000/=
( Miezi 4&6 malipo )
◾Vyumba viwili, kimoja ni masta.
◾Sebule
◾Jiko
◾Choo Cha public
√ Inajitegemea umeme.
√ Huduma za maji n uhakika
√ Ndani ya fensi
√ Usalama Mazingira.
NB : Property viewing house Fee 15k
FOR MORE DETAILS /INFORMATION
MAWASILIANO
Call/Whatspp
0785-517158
0678-517158