House for rent at Mawasiliano, Morogoro


💥 KODI KWA SASA NI Tsh. 400,000/= TU) NYUMBA NZURI SANAAAA YA KISASA MPYAAA ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO
WAHI MAPEMA NDUGU MTEJA HII SIO YA KUKOSA BEI IMESHUKA SASA
❤️SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#KABATI LA NGUO CHUMBANI
✔️ FENI ZA JUU
✔️ UMEME LUKU YAKO
✔️ MAJI DAWASA YANAFLOW JIKONI NA CHOONI
✔️ WATER RESERVE TANKS
✔️ NYUMBA IPO NDANI YA FENCE NZURI SANA USALAMA KAMA IKULU
✔️ PARKING SPACE KUBWA SANA
✔️ FULL PAVING BLOCKS NA GARDEN SAFI
KODI 400,000/=×4,5,6
ILIPWE LAKI NNE TU KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
🌍NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI
BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
BODA 1000
📞MAWASILIANO
0652472014
0754344786