House for rent at Mawasiliano, Morogoro


(250,000 × 6) KIMARA STOP OVER
1 KM KUTOKA MOROGORO ROAD..BODA ELF MOJA
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER
==
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko
Bei:250,000 Kwa mwezi × 6
==
Kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
==
Umbali KM 1 Usafiri bodaboda 1000, kama huna haraka unatembea
==
Ndani ya fence parking IPO
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
==
MAWASILIANO
0654101710
0787205300