House for rent at Mawasiliano, Morogoro


MOJA YA NYUMBA KALI INAYO ITAJI MPAMGAJI NI HI APA
NYUMBA INA VYUMBA V4 VIWILI VIKIWA MASTER NA MBILI ZIKIWA ZA KAWAIDA
BILA KUSAHAU JIKO DINING NA PUBLIC TOILET
NYUMBA UNAJITEGEMEA KWA KILA KITU UMEME NA MAJI
BILA KUSAHAU ELECTRIC FANS NA PAKING YA KUTOSHA SANA
NI NYUMBA AMBAYO IPO JIRAN NA LAMI KABISA NA UTULIV WA KUTOSHA SANA
KWA SH LAki7 TU MDA WA MALIPO NI MIEZI 6
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA
0766915854