House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA YA FAMILIA INAPANGISHWA
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#FULL SECURITY (ULINZI WA KUTOSHA)
#INAYOPANGISHWA NI YA KATIKATI
BEI NI 600,000/=x6
ILIPWE LAKI 6 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
ποΈ APARTMENT NZURI YA KISASA IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU UPO KWENYE
NYUMBA NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
0655256419