House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(280,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA
——
NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE INAPANGISHWA 280,000\/= X 6
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 TUU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PAVING
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 280,000\/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 80 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
#KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI
💥PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA USAFIRI NI BAJAJI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US:-
,0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja