House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
(150,000X4)MBEZI MWISHO NJIA YA MPIJI MAGOHE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENTS NZURII SANAA ZIKO NDANI YA FENSI MOJA WAPO IPO WAZII
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANAFLOW NDANI
SIFA ZAKE
>CHUMBA KIKUBWA MASTER
>SEBULEE
>JIKO( KUBWA SANA
>PUBLIC TOILET NJEE
>TAILS,GYPSUM,SLIDE WINDOWS
>PARKING SPACE KUBWA
🛣LOCATION:MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOE KITUO MACHIMBO
UMBALI KM 3...USAFIRI DALADALA 500 NA BAJAJI 1000 ,UKISHUKA UNATEMBEA DK 4
💰BEI:LAKI 150,000 Miezi X4X5X6👈
SERVICE CHARGE ELFU 15
MTEJA UKIPENDA NYUMBA UNAMLIPA DALALI ELA YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453