House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MZULI YA KIBACHELA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
SEBULE KUBWA
JIKO OPENI KICHENI
CHOO CHA NDANI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
MAJI YAKUSHEA BILI WATATU
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 200,000/=4
ILIPWE LAKI MBILI KODI YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 2
BALABALA SAFI NI YALAMI
USAFILI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKIISHUKA KWENYE BAJAJI UNTEMBEA DAJIKA NNE UFIKA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
===========
CALL 0683234124
0718367179