House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


VILLA FOR RENT
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHAL-MBEZI BEACH KWA ZENA
______________
KODI USD 1200=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
________________
_____________
YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala #2 MASTA #Sebule kubwa #dinning #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public #makabati
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks #Garden
#FencedHouse