House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT -300,000X6_2BEDROOM SEBLE JIKO CHOO
PUBLIC TOILET YA NDANI_NO_MASTER_IPO MBEZI TO MSUGURI Km2 kutoka men rood _NOTE , ITAKUWA WAZI TR5/4/024 ,KUONA NA KULIPIA RUKUSA FUNGUO ZIPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE YA WASTANI
‼️HAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300K X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BODABODA
🎤 APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
_________________________________________________________
CALL+255 679 897 628/WASP DLL Sd660 T.dsmtz🇹🇿