House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA
MAHALI MBEZI LUGURUNI
KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO
UMBALI KM1 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BODA BUKU
NYUMBA ITAKUWA WAZI TAR 20.5.2025 UNARUHUSIWA KUONA NA KULIPIYA
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA V2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STOO
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW DAWASA
LUKU YAKO
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI
TILES,GYPSUM
GARDEN SAFI
PAVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA MAZURI MNOO
ELECTRONIC FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
KODI 500,000×4
SERVICES CHARGE 15000
☎️ #0757208653