House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 200,000

Apartment nzuri sana zinapangishwa MBEZI MWISHO LUGURUNI ilipo Manispaa ya Ubungo na Ofisi ya mkuu wa wilaya ya UBUNGO

Apartment hizi zipo za Aina mbili tofauti SOMA MAELEZO KWA MAKINI

Apartment hizi zinasifa zifuatazo:

(1.) Vyumba Viwili vya Kulala
Chumba kimoja master
Sebule kubwa jiko zuri kubwa na public toilet

Bei: 200,000 × 6
( ILIPWE YOTE NA #IMEBAKI_MOJA_TU )

Luku unajitegemea
Maji yanaflow ndani

(2.) Vyumba viwili vya kulala sebule kubwa jiko zuri na public toilet ( HAINA MASTER HII)

Bei: 150,000 × 6 (#IMEBAKI_MOJA_TU_WAHI)

Luku unajitegemea
Maji yanaflow ndani

Ndani ya fensi na Parking kubwa sana

Apartment hizi zipo MBEZI MWISHO LUGURUNI km 1.8 kutoka kituoni

Bodaboda 1000 tu mpaka mlangoni

Service charge ni shilingi 15,000

Agent fee is one month payment

Contact:
0654101710
0787205300

DALALI KIMARA UBUNGO TABATA
dalali_kimara_ubungo
DALALI KIMARA UBUNGO TABATA

Similar items by location

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK12 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ------Vyimba 2 vya kulala kimo...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO DK12 KUTOKA LAMI -------Vyumba 2 vya kulala kimoja master be...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #CHUMBA SEBULE JIKO CHOOIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI - MBEZI BEACH MASSANA...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Chumba seble jiko na choo kali sana laki 5 kwa mwezi,ipo mbezi beach masana lami nyumba.muda wa mali...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 1,000,000

🏡 Modern 2-Bedroom Apartment for Rent – Mbezi Beach📍 Location: Mbezi Beach🛣️ Access: Conveniently...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI MBEZI BEACH MAKONDE UPANDE WA CHINI__________________...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

0679 997610 APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZI...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

0679 997610 APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI MBEZI BEACH MAKONDE UPANDE WA CHINI______...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

🏡✨ VILLA MPYA ZA KISASA — ZINAPANGISHWA ✨🏡📍 Mahali: Mbezi Beach Chini, Dar es Salaam, Tanzania💰 ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYU...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 360,000

(360,000X3) MBEZI KWA MSUGULI ——APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 360,000/= X 3 BILA KUS...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

(450,000X6) MBEZI KWA MSUGULI DK 12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD ➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT NZURI YA KISASA...

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

NYUMBA INAUZWAIPO MBEZI LUGULUNI-KWEMBEBEI TSH MILIONI 35UKUBWA WA ENEO SQM 500UMILIKI:MAUZIANO YA S...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,500,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #VILLA ZIPO MBILIIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH C...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000,000

Second beach plot for saleSqm 1186Location:mbezi beachPrice: ml 450 maongeziClean tittle deeddalalim...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,000,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH (Karibu ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 120,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #120kChumba cha kulala sebule choo na jikoKodi 120,000 ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

#0742260844#0657384670.APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 120,000/= X 6 🌟 APARTMENT H...