House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(250,000 × 4,5,6) MBEZI KWA MSUGURI
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA 
LOCATION:
KWA MSUGURI 
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DAKIKA 10 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA 
SEBULE 
JIKO ZURI LENYE MAKABATI
STORE
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCKS 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
KODI 250000 × 4 MPAKA 6
KUONA NYUMBA ELF 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300



















