House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 70,000 KWA MWEZI × 6
Master bedroom nzuri Sana INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI 70k
Umbali Dakika 2 Kwa mguu toka kituoni
Umeme wawili Tu, maji yanaflow chooni
Chumba siyo kikubwa Sana Kwa bachelor bachelor kina faaa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Malipo ya dalali nikodi ya mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba
0679997610
0658884015
Msigwa