House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA UHAKIKA NA GARI LINAFIKA HADI MLANGONI
BEI NI 150K X 4
ILIPWE LAKI 1 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4 NA KUENDELEA
UKIIPENDA NYUMBA HII NDUGU MTEJA UTALIPIA PESA YA UDALALI SHILINGI LAKI 1 MOJA NA NUSU BILA KUSAHAU SERVICE CHARGE SHILINGI ELFU 15
🏘️APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
#USAFIRI NI BAJAJI SH 500
#SERVICER_CHARGER_15000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whatsp
#0769680796☎