House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO JIRANI NA STAND YA MBEZI TO MALAMBA BEI NI 170,000/=
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
โผ๏ธJIKO ZURI LIPO NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 170,000/=X 6
ILIPWE LAKI 1NA ELFU 70 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO JIRANI NA STAND YA DALADALA ZA KUELEKEA MALAMBA NA IPO KWENYE FENSI NA JIRANI NA BARABARA
๐คNJIA YA GARI NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
#0785889413
#0785889413