House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(300,000 × 2) MBEZI KWA MSUGURI
CLASSIC Apartment for rent 300,000 × 4/3 MBEZI KWA MSUGURI
𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kilomita 1.8 kutoka Main Road, Usafiri 500
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
Vyumba viwili vya kulala
Sebule Kubwa
Haina master bedroom
Jiko Zuri la kisasa Lenye makabati
Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo Umeme Inajitegemea LUKU yake na Maji DAWASA yapo Full Time
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 3 Inapokelewa
#NB:
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba
Dalali amani
0654101710
0787205300
calls , SMS & WhatsApp