House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


VYUMBA VIWILI VYA KULALA
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH MAKONDE
___________________________________
NOTE:DAKIKA 5 KWA MGUU TOKA LAMI💯
KODI TSHS LAKI 600,000/=KWA MWEZI
_________________
MALIPO YA MIEZI 6
_______________
APART NZURI YA KISASA
_____________
YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Viwili vya kulala kimoja ni #Master #Sebule #Jiko lenye makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#FencedApart
____________
Nione
0789768988