House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
Kuanzia jumanne, 23/04/2024 hii appartment itakuwa wazi ndugu mteja
MAHALI ILIPO MBEZI MSUGURI DSM TZ
UMBALI WA 1/2 KM KUTOKA STENDI
KODI TSH 250,000x5x6
Ni chumba kimoja kikubwa sana; *kina Choo kimoja(cha kukaa)
*jiko lenye makabati ya vyombo, *wadrobe(sehem ya kuvalia nguo na yenye makabati ya nguo tayari).
*Heater ya maji ya moto
*mfumo wa maji ya moto na baridi hadi jikoni!
*Fan kubwa
*Romantic Lights
*Full A/C
*Aluminium windows
*Floor tiles & wall tiles za jikoni+marble
*Balcony
*Garden View kubwa
*Mita yake ya DAWASCO
*LUKU yake ya umeme
Pia huduma za usafi wa nje, ulinzi 24hrs, CCTV, garden ni bureee kabisa!
ZAIDI👇
*MINI-Supermarket kwa mahitaji ya nyumbani!
*Ni 50M kutoka barabara ya lami na 500m kutoka Magufuli Stand-MBEZI LUIS
👆👆 Bei yake ni 250,000/= kwa mwezi (tunapokea miezi 5,6)
Kuonyeshwa nyumba 15 elfu
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number ⬅️ 0689-547258