House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Ff332a790-71ce-4fb0-bcff-2ab72fbfb5a0.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Ff332a790-71ce-4fb0-bcff-2ab72fbfb5a0.jpg&w=256&q=75)
(250,000 × 6) MBEZI KWA MSUGURI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE:
INA VYUMBA 2 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
BEI NI 250,000 ILIPWE LAKI MBILI NA NUSU KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2
USAFIRI UPO WA BAJAJI NA BODABODA UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
NJIA NI RAFIKI KWA GARI AINA ZOTE
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
0710614924
0688653940