House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 250K X 6
π₯ APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO
#VYUMBA 2 VYAKULALA
π₯π₯#VYOTE NI MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA LAKISASA
#CHOO CHA PUBLIC
#STORE
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
# NA MAJI DAWASA METER YAKE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#NYUMBA INA (ITA)
#NDANI YA FENSI
#CAR PARKING
ποΈAPARTMENT HII IPO MBEZI KWAMSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5
UKIPANDA BAJAJI SH 500 BODA 1000 MPAKA KWENYE NYUMBA
π° BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
NB INAKUWA WAZI TRH 25/4 KUJA KUONA NAKULIPIA LUKSA
ππNJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030