House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Note** ITAKUA WAZI TAR 28/06/2024
APARTMENT NZURI SANA YA KUPANGA.
KODI
TSH. 100,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIFA
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET YA NJE
JIKO ZURI LA NJE
LUKU YAKE
MAJI NDAN DAWASA
TILES
GYPSUM
ALUMINIUM
MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
LOCATION
KNYEREZI KITUO NI KIFURU. UMBALI NI DK 10 KWA MIGUU KUTOKA BARABARA YA LAMI INAYOTOKA MBEZI KUELEKEA KINYEREZ
PIA UKITOKEA MBEZI KWA MSUGURI UNAFIKA NYUMBANI.
USAFIRI WA BAJAJI UPO PIA.
WASILIANA NASI;
0716834095, 0684217177